Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf
Mzee, akizungumza na waandishi wa habari mafanikio waliyoyapata katika
ziara yao ya Kimafunzo Nchini China na jinsi ya kuyafanyia kazi mafunzo
hayo, mkutano huo umefanyika katika ukumbi mdogo wa baraza la
wawakilishi Chukwani.
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi Talib, akiuliza swali kwa Waziri wa Fedha, kuhusiana na ziara hiyo.
Maofisa
wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar wakiwa katika mkutano huo wa kutowa
tathimini ya ziara ya China ya Kimafunzo kwa Waheshimiwa Mawaziri wa
Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waandishi
wa habari wakimsikiliza Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza
katika mkutano huo uliofanyika ukumbi mdogo wa baraza chukwani.Picha na
mdau Othman Maulid
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)