Waziri Mkuu Mizengo Pinda Asaini Kitabu Cha Maombolezo ya Aliyekuwa Mwigizaji Mahiri Nchini,Marehemu Steven Kanumba na Kuelekea Mkoani Dodoma Kuhudhuria Kikao cha Bunge Kinachotarajiwa Kuanza Aprili 10, 2012 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Asaini Kitabu Cha Maombolezo ya Aliyekuwa Mwigizaji Mahiri Nchini,Marehemu Steven Kanumba na Kuelekea Mkoani Dodoma Kuhudhuria Kikao cha Bunge Kinachotarajiwa Kuanza Aprili 10, 2012

 Waziri Mkuu,Mizengo  Pinda  akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt.Rehema Nchimbi  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge  kinachotarajiwa kuanza Aprili 10, 2012
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa  mwigizaji  mahiri nchini, marehemu Steven  Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili  9, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages