Waziri
Mkuu Mizengo Pinda(Kulia)Akimsikiliza Kiongozi wa Kambi ya Upinzani
Bungeni na Mbunge wa Hai(CHADEMA)Mh Freeman Mbowe(Kushoto)wakati wa
kipindi cha Maswali kwa waziri Mkuu,Bungeni Mjini Dodoma Leo.Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)