WASANII WA BONGO FLEVA WALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI KATIKA SHOW YA KILI MUSIC AWARDS MKOANI DODOMA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASANII WA BONGO FLEVA WALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI KATIKA SHOW YA KILI MUSIC AWARDS MKOANI DODOMA JANA

Msanii Ben Paul akitoa burudani katika tamasha hilo la Kilimanjaro Music Awards linalofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma hapo jana
 Msanii Barnaba Akitoa burudani kwa wapenzi wa muziki waliohudhuria tamasha kubwa la Kilimanjaro Music Awards Winner Tour 2012 lililofanyika katika uwanja wa jamhuri mkoani dodoma usiku wa leo
 Msanii AT akibambia Mtoto wa kike ambaye alipanda jukwaani baada ya kuvutiwa na Msanii huyo katika tamasha la washindi wa tuzo za Kili Music Award 2012 katika uwanja wa jamhuri mkoani Dodoma jioni ya leo
Hapo AT akijinafasi mwenyewe katika  kuhakikisha kiuno kikizunguoshwa basi na yeye hawi mbali kama kamera yetu ilivyomnasa
Msanii AT akibambia vilivyo katika Show ya Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro hapo jana Katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma
Mwanadada aliyeteka mioyo ya watu kwa kukata mauno wakati alipopanda stejini kwenye show ya washindi wa Tuzo Za Kilimanjaro Music iliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma
Alikiba akiwa na Wacheza show wake katika show hiyo ya kili music awards iliyofanyika jana Mkoani Dodoma katika uwanja wa Jamhuri
 Diamond & Ommy Dimpoz
Umati wa Wakazi wa Dodoma Wakiwa Kwa Wingi Katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma Hapo Jana katika Show ya Washindi wa Kili Music Award 2012 
 Umati wa Wakazi wa Dodoma na Vitongoji Vyake wakiwa kwenye Show ya Washindi wa Tuzo za Kili Music Awards iliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages