Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Isongole, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wakiwa
wameshika mabango yenye ujumbe ulioandikwa "Matuta kwanza tumechoka
kupoteza ndugu zetu" kufuatia kifo cha mwanafunzi mwenzao wa kidato cha
pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na gari ya abiria aina ya
Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1 asubuhi, Aprili 17 mwaka
huu katika barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Isongole, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya
wamelazimika kufunga barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu kwa masaa manne
kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 8 mchana, kufuatia kifo cha mwanafunzi
mwenzao wa kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na
gari ya abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1
asubuhi, Aprili 17 mwaka huu.
Wanafunzi
hao wakiwa wameshika mabango yenye ujumbe ulioandikwa "Matuta kwanza
tumechoka kupoteza ndugu zetu" kufuatkia kifo cha mwanafunzi mwenzao wa
kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na gari ya
abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1 asubuhi,
Aprili 17 mwaka huu katika barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu.
Mkuu
wa Usalama wa barabarani Wilaya ya Rungwe BL Lihwa akimsikiliza Kiranja
wa Taaluma katika shule ya Sekondari Isongole Charles Nyingi (26), muda
mfupi baada ya ajali kutokea ambapo amesema zaidi ya wanafunzi 15
katika shule za msingi na sekondari Kijijini hapo wamefariki dunia baada
ya kugongwa na magari kutokana na mwendokasi hivyo ameomba kuwekwa
kivuko na usalama wa barabarani ili kudhibiti mwendokasi wa madereva
unaosababisha ajali.
Mkuu
wa Usalama wa Barabarani BL Lihwa akiwasihi wanafunzi kuliachia gari la
kusafirishia wagonjwa baada ya kufunga barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu kwa
masaa manne kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 8 mchana, kufuatia kifo cha
mwanafunzi mwenzao wa kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya
kugongwa na gari ya abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira
ya saa 1 asubuhi, Aprili 17 mwaka huu.
Gari
la wagonjwa ikiwa imezuiwa kupita baada ya wanafunzi kufunga barabara
kuu ya Mbeya/Tukuyu kwa masaa manne kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 8
mchana, kufuatia kifo cha mwanafunzi mwenzao wa kidato cha pili marehemu
Nuru Patrick, baada ya kugongwa na gari ya abiria aina ya Coaster na
kufariki papo hapo majira ya saa 1 asubuhi, Aprili 17 mwaka huu.
Jeshi
la Polisi lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya
wanafunzi hao baada ya kufunga barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu kwa masaa
manne kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 8 mchana, kufuatia kifo cha mwanafunzi
mwenzao wa kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na
gari ya abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1
asubuhi, Aprili 17 mwaka huu.
Sehemu ya wanafunzi wakiwa na bango lililoamdikwa ujumbe huu "Matuta kwanza tumechoka kuwapoteza ndugu zetu.
Wanafunzi
wakiwa wameanza kufunga barabara kuu ya Mbeya/Tukuyu kwa masaa manne
kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 8 mchana, kufuatia kifo cha mwanafunzi
mwenzao wa kidato cha pili marehemu Nuru Patrick, baada ya kugongwa na
gari ya abiria aina ya Coaster na kufariki papo hapo majira ya saa 1
asubuhi, Aprili 17 mwaka huu. (Picha zote na Ezekiel Kamanga, Rungwe).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)