Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa Brazil
Mama Dilma Rousseff alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia
Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 kuhudhuria
mkutano wa Open Government Partnership
Ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa Open Government Partnership
ukibadilishana mawazo kabla ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa
mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April
17, 2012. kutoka kushoto ni Waziri katika ofisi ya Rais (Utawala Bora)
Mh Mathias Chikawe, Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na
Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman, Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Mahadhi J. Maalim na Msahuri wa Rais
(Masuala ya Siasa) Dkt Laurian Ndumbaro
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na mwenyeji wake Rais wa
Brazil Mama Dilma Rousseff na wajumbe wengine katika ukumbi wa mikutano
wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership. Kulia ni
Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Bi Hilary Clinton
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 katika mkutano wa Open Government Partnership
Wajumbe wa Tanzania kutoka taasisi mbalimbali za kiraia na serikali
wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini
Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open
Government Partnership
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh
Nika Gilauri katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre
jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 baada ya kuhudhuria mkutano wa
Open Government Partnership
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)