Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka (kushoto), akimkabidhi tuzo Meneja
Usalama Mahala pa Kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda,
baada ya kampuni hiyo kushinda masuala ya usalama mahali pa kazi,
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama kazini duniani, Dar es
Salaam juzi. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dk. Makongoro
Mahanga.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka (kulia) akimpongeza , Renatus Nyanda kwa niaba ya TBL.
Meneja
Usalama Mahala pa Kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda
(wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Kabaka pamoja
na baadhi ya washindi wa tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)