CHADEMA YAZIDI KUVUNA WAFUASI WA CCM MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHADEMA YAZIDI KUVUNA WAFUASI WA CCM MBEYA

Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema 
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi  Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness
Bi Happiness akivishwa skafu ya chadema
Akiongea katika mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi ambao umevuta hisia za watu wengi ambapo Bi Happiness amesema sababu kutoka CCM na kuhamia CHADEMA ni kutokana na mipango mingi inayopangwa si ya utekelezaji na badala yake wamekuwa wakijinufaisha wao binafsi na kuwafanya wananchi kuishi katika hali ya umaskini.
Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo.Habari Kwa Hisani ya Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages