Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pomoja na katibu Mkuu
kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara baada ya kumaliza mazungumzo naye
Ofisini kwake Dodoma leo.Balozi Sefue alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi
kwake mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi. Picha na Owen Mwandumbya wa
Bunge
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na katibu Mkuu
kiongozi, Balozi Ombeni, Sefue Ofisini kwake Dodoma leo. Balozi Sefua
alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi kwake mjini Dodoma kwa ziara ya
kikazi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)