Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akikagua Maendeleo Mbalimbali ya Jamii Mkoa wa Kusini Pemba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akikagua Maendeleo Mbalimbali ya Jamii Mkoa wa Kusini Pemba

IMG_3490
Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Afani Othman Maalim,alipokagua ujenzi wa Mtaro katika matayarisho ya kilimo cha Mpunga wa umwagiliaji  huko Makombeni Mkoani Pemba.
DSC_0142
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kupata Taarifa ya kazi za utekelezaji wa Mkoa huo alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo mbali mbali ya jamii,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji,(kulia) Mkuu wa Mkoa huo Juma Kassin Tindwa,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban.
DSC_0164
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa amekelia madeski ya kukalia wanafunzi katika madarasa mapya Skuli ya Ukutini,baada ya kuzindua  madarasa hayo,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo mbali mbali ya jamii Mkoa wa Kusini Pemba,huko ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji.
DSC_0132
Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Ofisi za serikali katika Mkoa wa Kusini Pemba,wakiwa katika mkutano wakati wa utoaji wa taarifa ya utekelezaji wa Mkoa huo kwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo mbali mbali ya jamii Mkoa wa Kusini Pemba,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji.
DSC_0184
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Ukutini,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi,walimu na wanafunzi hao baada ya kufanya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya kusomea, alipokuwa katika ziara ya kutembelea maendeleo mbali mbali ya jamii Mkoa wa Kusini Pemba.
 DSC_0188
Baadhi ya wananchi wa Shehia ya  Ukutini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao,walimu na wanafunzi hao baada ya kufanya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya kusomea, alipokuwa katika ziara ya kutembelea maendeleo mbali mbali ya jamii Mkoa wa Kusini Pemba.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages