RAIS KIKWETE AHANI VIFO VYA IGP STAAFU HARUN MAHUNDI NA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAIS KIKWETE AHANI VIFO VYA IGP STAAFU HARUN MAHUNDI NA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA

?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji watoto wa  Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa 
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Mdogo Wa Marehemu Steven Kanumba akisalimiana na Raisi Jakaya Kikwete wakati alipokwenda kutoa mkono wa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
 ?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0 
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
 ?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13691c73a1b7d60a&attid=0
PICHA ZOTE NA FREDDY MARO WA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages