Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume
ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustini Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume
ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya
mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Fatma Said Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Humphrey Polepole, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwapongeza
wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam Leo
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Fatma Said Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Humphrey Polepole, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
18:-
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa
Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wake wawili, Maalim Seif na
Balozi Seif Idd, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa katika picha ya
pamoja kwa kumbukumbu na Viongozi wateule na wajumbe wa Tume hiyo baada
ya kuapishwa rasmi. Tume hiyo inatarajia kuanza kazi rasmi Mei 01,
mwaka huu. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)