Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakitoka baada ya kuhudhuria kongamano hilo.
Mwandishi mkongwe, Jenerali Ulimwengu akisoma kitabu cha Mwalimu Nyerere kwa washiriki wa Kongamano hilo.
Rais wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa (wa pili kulia), akimsikiliza
mwandishi mkongwe Jenerali Ulimwengu wakati akipitia yaliyoandikwa
kwenye kitabu cha Mwalimu Nyerere kabla ya kuzinduliwa katika Kongamano
la nne la kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati Ukumbi wa
Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Mukandara (kushoto) akiwa na Profesa Issa Shivji
Waziri Mkuu wa zamani, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akiwa na akiwa
na mwansiasa mkongwe, Joseph Butiku (kushoto kwake) wakisikiliza kwa
makini wakati wa kongamano hilo.
Mwezeshaji wa Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Profesa Micere
Mugo (kulia), kutoka Kenya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu
cha Mwalimu Nyerere kinachoelezea makala na hotuba zake katika
Kongamano la nne la Kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati
Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jana. Kushoto
ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Nyerere, Profesa Issa Shivji.Picha na Dotto
Mwaibale
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)