Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Hani Abdalla Mohammed Mu'minah,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Hani Abdalla Mohammed Mu'minah,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nchini Tanzania Mohsen Movahhed Ghomi.aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nchini Tanzania Mohsen Movahhed Ghomi.aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)