NIPO NJIANI KUREJEA DODOMA KWA MAJUKUMU MENGINE MUNGU BABA NAOMBA UTULINDE NA KUTUFIKISHA SALAMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

NIPO NJIANI KUREJEA DODOMA KWA MAJUKUMU MENGINE MUNGU BABA NAOMBA UTULINDE NA KUTUFIKISHA SALAMA

P1170500
Muda mfupi kabla sijaanza safari yangu ya kurudi Dodoma kwa majukumu ya shule na mambo mengine nikiwaa na safiri na basi la shabiby kwa usalama na uhakika wa safari yangu mengine ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.Eeehh Baba Uliye mbinguni tunaomba utulinde na kutufikisha salama.
P1170507
Nikiwa ndani ya Basi la Shabiby tayari kwa kurejea Dododma Baada ya Sikukuu Ya Pasaka Kuisha na narejea mkoani Dodoma kwa majukumu mengine ya kazi na shule pia
P1170512
Baadhi ya Abiria wakiwa ndani ya Bus la Shabiby wakiwa na furaha ya safari yao wakiwa na shabiby bus
P1170514

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages