ABIRIA WAENDELEA KULA MSOTO KITUO CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI CHA UBUNGO JIJINI DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

ABIRIA WAENDELEA KULA MSOTO KITUO CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI CHA UBUNGO JIJINI DAR LEO

Haya Abiria wakiendelea kushangaa kituo cha mabasi yaendayo mkoani mida hii katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha ubungo
Hapa abiria wakiendelea kufarijiana kwa kupeana stori za hapa na pale huku wengine wakisubiri mabasi ambayo wameshakata tiketi japokua mabasi hayo bado yapo njiani kuja jiji dar
Huku wengine Wakiwa wamejichokea na kujipatia chakula cha mchana chini ya mti wenye kivuli safi sana
Abiria wakiendelea kula msoto kituo cha mabasi cha ubungo wakiwa hawana hili wala lile na wakiendelea kupigwa na jua na mvua

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages