MTUHUMIWA AKIRUDISHA MAHAKAMANI MARA BAADA YA KUTOROKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MTUHUMIWA AKIRUDISHA MAHAKAMANI MARA BAADA YA KUTOROKA

Askari Polisi wa Kituo Kikuu cha Morogoro, wakimrejesha mahakamani mtuhumiwa aliyetambuliwa kwa jina moja la Linus, mkazi wa mjini hapa, baada ya kukamatwa na wananchi akitimua mbio kutoka kortini muda mfupi kabla ya kuanza kwa kesi yake na wenzake ya wizi wa pikipiki katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro. (Picha na John Nditi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages