Mtaalam wa
gesi kutoka Uingereza Michael Freeman (katikati) akipima kiwango cha
gesi katika bomba za gesi ili kubaini kiwango na mkandamizo wake kwa
Nyumba 57 za wafanyakazi wa Shirika la Taifa Mafuta Nchini (TPDC)
inayotoka Ubungo mpaka Mikocheni Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni
mhandisi mtarajali Levina Kashushura (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya BQ Constructors, Mhandisi John Bura (kulia kwa Michael) na
mtaalam wa gas Jamal Mbanga (wa pili kulia) na Mhandisi mtarajali wa
TPDC Jovitha Perfect (kulia). (Na mpiga picha wetu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)