MAKADA WA CCM VYUO VIKUU VYA DAR ES SALAAM WATINGA CCM KUFIKISHA UJUMBE WAO DHIDI YA MAFISADI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKADA WA CCM VYUO VIKUU VYA DAR ES SALAAM WATINGA CCM KUFIKISHA UJUMBE WAO DHIDI YA MAFISADI

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea  Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika  leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.
Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
. Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.
Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika  leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages