Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi(Kushoto)akizungumza na Waandishi wa
Habari hawapo pichani wakati akitoa tamko rasmi la Kamati ya Ulinzi na
Usalama ya Mkoa wa Dodoma kuhusu Mustakabali Wa Amani,Ulinzi na Usalama
katika kipindi cha mikutano yote ya Bunge la jamhuri ya Muungano wa
Tanzania
Baadhi
ya Waandishi wa Habari Mkoani Dodoma Wakimsiliza Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma(Hayupo pichani)Kwenye Kikao Chake na Waandishi wa Habari.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)