Wageni waalikwa,
Wanahabari,
Mabibi na mabwana,
Habari za jioni?
Nina furaha kuwakaribisha nyote tunapojianga kuzindua nyumba kuu ya Heineken kwa wateja wetu Tanzania. Tunayo furaha zaidi kwa kuwa baada ya hekaheka za sikukuu ya Pasaka
mmeweza kufika hapa.

Kwa niaba ya timu ya Heineken ya Afrika mshariki,Asanteni sana.
Kufuatia ziara yenye mafanikio ya kombe la Ligi ya Mabingwa la UEFA, iliyoletwa na Heineken kuanzia Machi
23 na kuisha Machi 31, tumeamua kuwashirikisha nyinyi kama wateja wetu
zaidi kwa kuongezea njia za kujiburudisha katika mashindano haya mahiri.
ya mpira wa miguu.
Lengo kuu la Heineken kuanzisha ufadhili ni kuwapatia mashabiki barani ulaya na kote duniani raha ya hali ya juu katika Ligi ya Mabingwa la UEFA. Mshindano ya Ligi ya Mabingwa la UEFA ni jukwaa kwa timu bora nawachezaji wa kimataifa.
Mnano mwezi Mei 2011, kampuni ya kimataifa ya Heineken ilitangaza kuwa emeongeza mkataba wake na UEFA wa kufadhili Ligi ya Mabingwa la UEFA kwa miaka mitatu. Msimu wa 2011/12 ni mwaka wa saba mfulilizo wa Heineken kufadhili mashindano kabambe ya Ligi ya Mabingwa la UEFA

Ikiwa
na watazamaji millioni 150 wanaoangalia mashindano ya moja kwa moja
kwenye uwanja katika nchi 220, mashindano haya yamekuwa ni ya kidunia na
hivyo kuendana vyema na bia ya Heineken inayoburudisha na kufurahiwa
kote duniani.
Kupitia
miundo bora iliyovutiwa na kampeni ya dunia ya Heineken ya Ligi ya
Mabingwa iliyozinduliwa Mwezi Septemba mwaka 2011 tumefanikiwa
kutengeneza chumba kabambe cha kutazamia kwa raha zenu
kama mtakavyoona hivi punde “Heineken Champions Planet” ni ya kipekee
kwani ina jumuisha eneo la kutazamia ambalo limewekekzwa
runinga mbali mbali, vifaa vya mchezo wa PS3, meza za pool na meza za
Foosball (mpira wa miguu unaochezwa mezani.) na chumba binafsi kwaajili
ya wanahabari.
Kama mnavyofahamu, tumezindua mpango mahsusi wa kuwa washiriki muhimu katika soko la Tanzania. Uzinduzi huu wa “Heineken Champions Planet” unaonyesha dhamira ya dhati kwa wateja wetu wa Heineken humu nchini na tunatarajia kutoa huduma ya kimataifa kwa wote.
Kwa wiki zijazo, wateja wetu watakuwa na fursa ya kushinda tiketi za kipekee
za kuitazama nusu fainali hapa hapa katika “Heineken Champions Planet”
nasi tunawaahidi kupata kumbukumbu za kifani. Taarifa zaidi
zitawasilishwa kwenu kupitia vyombo vya habari na katika ukurasa wa Heineken katika mtandao wa face book.
Kwa hayo machache, nawakaribisha katika uzinduzi wenye vifaa mbali mbali kwaajili ya wateja wetu toka kampuni ya Heineken. Tufurahie na kujiburudisha.
Na kwa hayo nachukua fursa hii kuliita jengo hili.....
Heineken Sayari ya Mabingawa - Heineken Champions Planet - Karibuni sana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)