Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadick Meck Sadick akipata maelezo juu ya
uharibifu wa mali na uhai uliosababishwa na ujenzi wa mabondeni eneo la
Mtoni Kijichi ambapo nyumba zimeanguka na kuua watoto juzi. Kulia ni
Diwani wa Mbagala Kuu, Anderson Charles. Picha ndogo kushoto ni moja ya
nyumba zilizobomoka. Picha na Grace Mkojera
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)