MKUTANO WA TFF WAFANYIKA JANA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MKUTANO WA TFF WAFANYIKA JANA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Leodegar Tenga, akitoa hotuba kwenye mkutano mkuu wa (TFF) wa wajumbe kutoka mikoa yote ya nchini ulioanza jana katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT jijini Dar es salaam mkutano huo ni wasiku mbili Bw.Leodegar Tenga amewataka wajumbe kuheshimu kanuni za soka.
Juliana Mtagi Yasoda Naibu Mkurugenzi wa michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akitoa msisitizo wakati alipotoa mada katika mkutano huo.
Mjumbe wa kudumu CAF mhe Said El Maamri akitoa msisitizo katika mkutano huo.
Mwenyekiti mstaafu wa FAT Muhidini Ndolanga akisisitiza jambo katika mkutano huo jana.
Wajumbe walioudhuria wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage (kushoto) akiwa pamoja na wajumbe wengine wakisikiliza kwa mamkini katika mkutano huo.
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Bw.Leodegar Tenga watano kutoka  (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages