Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT)
Tanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na www.superdboxingcoach.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)