Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa
(kulia),akimshukuru mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo baada
ya chama hicho kupatiwa msaada wa sh. mil. 100, kwa kufurahishwa na
ushindi wa Chadema katika uchaguzi uliofanyika Jimbo la Arumeru
Mashariki, Arusha Jumapili. Hafla hiyo ilifanyika, Dar es Salaam
Mfanyabiashara
maarufu nchini, Mustafa Sabodo(kushoto) akitia saini kwenye hundi
yenye thamani ya sh. mil. 100 alizotoa msaada kwa Chadema, baada ya
kufurahishwa na ushindi wa chama hicho katika Jimbo la Arumeru
Mashariki Jumapili. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama
hicho, Antony Komu. Hafla hiyo imefanyika leo nyumbani kwa Sabodo
Upanga, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)