Je Wajua Kuwa Ugonjwa Wa Ukoma ni Chanzo Cha Ulemavu na Ombaomba?Soma Hapo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Je Wajua Kuwa Ugonjwa Wa Ukoma ni Chanzo Cha Ulemavu na Ombaomba?Soma Hapo

Ukoma unaweza kusababisha kukatika kwa vidole kama inavyoonekana katika picha hii.
---
NI dhahiri kwamba ugonjwa wa ukoma umekuwa ukiogopwa sana katika jamii zetu hasa kutokana na ukweli kwamba unasababisha ulemavu wa kudumu mwilini.

Ugonjwa huu umekuwa ukisababisha kuongezeka kwa umaskini na kuwa chanzo cha ombaomba wengi mtaani, hasa katika maeneo ya mijini. Wengi wetu tumeshuhudia

waathirika hawa wa ugonjwa wa ukoma katika maeneo tunayoishi au mtaani na wengi wao wakiwa wameathiriwa katika maeneo ya viganja vya mikono, usoni na miguuni.

Waathirika wa ugonjwa huu mara nyingi wamekuwa wakitengwa na kunyanyapaliwa na jamii inayowazunguka na hivyo kujikuta wakilazimika kuingia katika maisha ya mitaani na kuwa ombaomba ili wapate angalau fedha kidogo za kujikimu.Kwa Habari zaidi
Bofya na Endelea...>>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages