Mwanamke, mkazi wa Kingolwira, Manispaa ya Morogoro, akijishughulisha na
kazi kwenye mashine ya kusaga mkonge ya Kiwanda cha Pangawe, huku akiwa
na mwanawe mgongoni, bila ya kuwa na vifaa vya kujikinga kama
alivyokutwa juzi kiwandani hapo. (Picha na John Nditi)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)