ZIARA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KATIKA VYOMBO VYA HABARI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KATIKA VYOMBO VYA HABARI.

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea leo na kujionea Utendaji kazi wa Vyombo vya Habari vya Serikali ya Zanzibar ikiwemo Idara ya Habari Maelezo,Gazeti la Zanzibar leo na Shirika la Utangazaji la Zanzibar ZBC katika mfululizo wa Ziara zake za kutembelea Afisi za Serikali hiyo. PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages