Waziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe Azungumza na waandishi Wa Habari Juu ya Haki za Binaadamu Katika Nchi Yetu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe Azungumza na waandishi Wa Habari Juu ya Haki za Binaadamu Katika Nchi Yetu

Waziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari Ofisini kwake Machi 19.2012 kuhusu Haki za Binaadamu katika nchi yetu. Baada ya kuhurudhuria mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Geneva –Uswiss hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages