Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwapungua watu waliofika kwenye ukumbi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu kushuhudia wakati alipokabidhiwa kombe la UEFA jijini
Dar es salaam Machi 26, 2012.
Waziri
Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa pamoja na Meneja Mkuu wa Bia ya Heinken
Afrika Mashariki Bw.KoenMorshiu's wakifunua kitambaa, kuonyesha kombe la
Ulaya wakati Kampuni ya bia ya Heinken ambao ndiyo wadhamini wa kombe
la Ulaya (UEFA) walipomkabidhi kombe hilo waziri mkuu leo ofisini
kwake, Kampuni ya Henken pamoja na Shirikisho la mpira wa miguu la ulaya
(UEFA) liko katika ziara ya kulitembeza kombe hilo katika nchi za
Afrika na Amerika ya Kusini nchini Mexico na Asia nchini China na
Tanzania na Kenya
Waziri
Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa pamoja na Meneja Mkuu wa Bia ya Heinken
Afrika Mashariki Bw.KoenMorshiu's wakipiga makofi mara baada ya kufunua
kitambaa kuonyesha kombe la Ulaya UEFA.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akipiga picha na Kombe hilo pamoja na mawaziri wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kulia ni Naibu Waziri wa
wizara hiyo Dk Fenella Mukangara, wa pili kutoka kushoto ni Dk Emmanuel
Nchini Waziri wa wizara hiyo na Makamu wa kwanza wa shirikisho la mpira
miguu nchini Tanzania (TFF) Athuman Nyamlani.(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)