Mkuu wa Mkoa
wa Rukwa, Stella Manyanya (wa tatu kulia) akipokea maua kutoka kwa
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya huduma za ndege za Auric
Air, Deepesh Gupta baada ya kuzindua safari za kwenda Mkoani Rukwa kwa
ndege katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam
jana. Kulia kwa Manyanya ni Katibu Mkuu Menejiment ya Utumishi wa Umma,
George Yambesi, Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aishi Hilal (wa pili kulia)
na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Salim Chima Mohamedi. (Picha na
Robert Okanda).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)