Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria wakifanya mazoezi mepesi

Wachezaji
wa timu ya ES Setif ya Algeria pamoja viongozi wao na mwenye suti
katikati ni balozi wao wakiwa katika picha ya pamoja.Picha na Francis
Dande wa Globu ya Jamii.
Balozi wa Algeria nchini akiwasalimia wachezaji wa timu ya ES Setif kwenye uwanja wa Karume leo jioni.

Wachezaji
wa timu ya ES Setif ya Algeria wakiwasili kwenye Uwanja Karume Dar es
Salaam kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Simba
ya jijini Dar katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF)
unaotaraji kuchezwa siku ya jumapili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)