Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mstaafu Jaji Damian Lubuva, akizungumza na
waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam, kuhusu
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki unaotarajiwa kufanyika
tarehe 1 Aprili mwaka huu ambapo alisema kuwa watatumia daftari
liliotumika katika Uchaguzi wa mwaka 2010 ambalo limefanyiwa marekebisho
na kutumika ktika Uchaguzi mdogo utakaowashirikisha jumla ya wapiga
kura 127,455.Awali daftari la wapiga kura liliotumika katika Uchaguzi
Mkuu wa Mwaka 2010 lilikuwa na wapigakura 127,429. na baada ya
marekebisho litakuwa na nyongeza ya wapiga kura 26 .Kulia ni Mkurugenzi
wa Uchaguzi Jullius Mallaba. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo katika Ofisi za Tume ya uchaguzi.
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)