Wakaanga
samaki katika Soko la Feri Magogoni, Dar es Salaam wakiendelea na
shughuli hizo kwenye moshi unaotokana na kuharibika kwa vitolea moshi na
kusababisha moshi huo kutanda hivyo inayowalazimisha kila wakati
kutoka nje ili kupata hewa safi. Baadhi ya majiko yaliteketea kwa moto
mwezi kama huu mwaka jana katika soko hilo na kwa mujibu wa mmoja wa
wakaanga samaki hao, Mfaume Namkopa, kuna jumla ya wakaanga samaki 143
wanaotumia kwa zamu majiko yaliyobakia na kusababisha usumbufu
mkubwa.(Picha na Mohamed Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)