TETESI: MADAKTARI KURUDI KWENYE MGOMO JUMATANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TETESI: MADAKTARI KURUDI KWENYE MGOMO JUMATANO


Madaktari wametangaza kurudi tena kwenye mgomo,hiyo ni baada ya kikao chao kilichofanyika leo Jumamosi hii kwenye ukumbi wa Water Front,wamesema kwamba ifikapo jumatano saa mbili ahsubuhi kama serikali ikishindwa kuwasimamisha au kuwaondoa kwenye madaraka Waziri wa afya Mh Haji Mponda na katibu wake watarudi kwenye mgomo.Mtandao wa LUKAZA BLOG utaendelea kukupa habari kuhusiana na swala hili kadri tutakapozidi kuzipata.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages