Mwenyekiti wa Wanaharakati wa soko la Mchikichini Godwin Kaison Ndabazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu matatizo
yanayowakabili ya kukosa Umeme pamoja na Matatizo ya Viongozi wa soko
la Mchikichini katika Manispaa Ilala Mkoa wa Dar es Salaam-(kulia
kwake) Ni Mwenyekiti wa Tume wa Ufuatiliaji tatizo la umeme Sokoni
Mussa Kitakuru Kweka.
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la mchikichini wakiwa katika ukumbi wa mkutano(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)