Vodacom
Foundation leo inataraji kukabidhi mradi wa maji ktk kijiji cha
Inyumbu kilicho nyuma ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mkoani
Dodoma.Inadaiwa kuwa Ujenzi wa chuo hicho uliathiri chanzo cha maji
katika mto Inyumbu ambao ulikua ndio chanzo kikuu cha maji kwa wakazi
2500 wa kijiji cha Iyumbu.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)