TASWIRA ZA MEDIA DAY BONANZA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TASWIRA ZA MEDIA DAY BONANZA LEO

24 FULLSHANGWE iko katika eneo la tukio na inakumuvuzishia matukio moja kwa moja kutoka Msasani Beach Club kama unavyoniona mkurugenzi nikiwa kazini huku rafiki yangu Ras Joachim Kanyopa akiniangalia.
8Mwandishi wa habari kutoka gaqzeti la Hoja Iche Mang'enya mzee wa Zengwe akimshushia kombora la ngumi Mpiga picha wa gazeti la The Express Said Khamis katika mchezo wa masumbwi uliokuwa siyo rasmi.

6Mwalimu wa Masumbwi Super D. Mhamila akitoa maelezo kwa wachezji wa mpambano huo kulia ni Meshack Nzowa na Said Khamis kabla ya mpambano wao.
1Mdau Edo Kumwembe kulia Iche Mang'enya wakifurahia juambo.
4Timu za Times na Busness Time zikichuana vikali katika mpira wa miguu.
16Mdau Douglas Sagawala katikati akiwa na wadau Emmanuel Zinga kushoto na Freddy Chelelo.
18Wadau kutoka gazeti jipya la Fahamu nao wamejivinjari katika bonaza hilo kama unavyowaona wakipozi kwa picha.
19Hapa nikiwa na Mdau DJ Q wapili kutoka kushoto na washkaji wengine kutoka vyombo mbalimbali.
20Wadau kutoka Mwananchi katikati ni Kalunde Vick kushoto na Ruth wakipozi kwa picha.
21Michezo imepamba moto kama unavyoona katika picha. Picha zote na Full Shangwe Blog. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages