Tanzania DMV Team - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Tanzania DMV Team


Video ya maelezo kwa wachezaji wenye bidii ya mazowezi wakihimiza mazowezi kwa wasio bahatika kuhudhuria kila siku, katika mpango mzima wa kujianda na ligi ya Diaspora World Cup 2012 itakayofanyika Germantown na Hyattsville Maryland nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages