SIMBA YAIBUKA KIDEDEA KWA MAGOLI 3 DHIDI YA KAGERA SUGAR KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SIMBA YAIBUKA KIDEDEA KWA MAGOLI 3 DHIDI YA KAGERA SUGAR KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM LEO

Mchezaji wa Timu ya Simba Haruna Moshi (Boban) akichuana vikali na mchezaji wa Kagera Sugar George Kavila wakati wa mpambano mkali wa ligi Kuu ya Vodacom unaoganyika leo kwenye uwanja wa Taifa, wanaoshuhudia ni wachezaji Muganyizi Martin wa Kagera Sugar kulia na Paulo Ngwali Mpaka sasa ni mpira umekwisha na timu ya Simba imeibuka kidedea kwa kishindilia Kagera Sugar magoli 3-1, magoli hayo ya Simba yamefungwa na Patrick Mafisango magoli mawili kati ya hayo moja kwa penati Huku mshabuliaji wa Simba mganda Emanuel Okwi akiandika goli la tatu Kagera Sugar imepata goli la kufutia machzo ambalo limefungwa na mchezaji Themi Felix.
Wachezaji wa timu ya Simba wakishagilia mara baada ya mchezaji Patrick Mafisango kuifungia timu yake goli.
Mashabiki wa Simba wakishagilia mara baada ya timu yao kupata goli la kwanza hata hivyo Kagera Sugar wamesawazisha goli hilo na kuwa 1-1 huku mpira ukiwa unaendelea.Picha/Habari Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages