Balozi wa heshima wa bangladesh Bw;
Sadrudin Shariff akikata utepe leo kuashiria makabidhiano
rasmi ya jengo maalumu kwa ajili ya watoto wenye walemavu wa
akili katika shule ya msingi ya Gilmani Rutihinda iliyopo
katika kata ya Kigogo mansipaa ya Kinondoni jijini Dar es
salaam, pembeni yake kushoto ni Bw. Brad Morrow mfadhili wa jengo
hilo.kushoto ni Bi Rose Rupia mwenyekiti wa kikundi
chakuwasadia watoto wenye walemavu wa akili Kulia afisa wa
elimu wa mansipaa ya Kinondoni akifutilia kwa umakini zoezi
hilo
Mwenyekiti wa kikundi cha kusaidia watoto wenye walemavu
wa akili Bi Rose Rupia akisoma lisala wakati wa makabiziano
ya jengo hilo.
Mkurugenzi wa (IESC) Bw. Brad Morrow akisisitiza jambo katika
hafla ya makabidhiano jengo maalum kwa ajili ya watoto wenye
walemavu wa akili.
Mgeni rasmi Bw Sadrudin Shariff akitoa hotuba katikati
akitoa hotuba kwa wageni waliodhuria hafla ya makabidhiano
ya jengo hilo kushoto Bw. Brad Morrow, akifutiwa Bi Rose Rupia
mwenyekiti, kulia katikati mwalimu mkuu Bi Esther
Mwambapa na mwisho kulia ni Bi Flora Petro mratibu wa elimu
kata ya Kigogo.
Bw. Sadrudan Shariff mbele katikati akiwa kwenye picha ya
pamoja na wanakikundi baada ya mabidhiano ya jengo hilo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)