Shabiki wa CCM akishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Shabiki wa CCM akishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki

Shabiki wa CCM akishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki. Mkutano huo ulihutubiwa pia na Meja Jenerali mstaafu Mirisho Sarakikya kwa niaba ya wazee wa eneo hilo, Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Juma. (Na Mpigapicha Maalumu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages