Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Ilala,Mama Martha Weje (kulia).
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akiongea na wananchi wa kata ya
Kipawa iliopo katika Manispaa ya Ilala,Jijini Dar ea Salaam leo wakati
wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu ya
kata hiyo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama
Salma Kikwete ( pichani hayupo).
Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete akipokea mchango kutoka kwa mwanafunzi. Kwa Chanzo Na Picha zaidi BOFYA HAPA





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)