Mkurugenzi wa Michezo katika wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina elekezi ya msimu wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF) Athuman Nyamlani na Meneja uhusiano na Makamu Mawasiliano wa Kampuni ya Coca-Cola Kwanza,Evance Mlelwa.
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF)
Athuman Nyamlani,akizungumza wakati ufunguzi wa semina elekezi ya
msimu wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya
Mikoa jijini Dar es Salaam jana mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa
Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Mkurugenzi wa Michezo katika Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo na Meneja uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Coca-Cola kwanza,Evance Mlelwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)