Hapa
wakiwa wamepokezana nguo hiyo! hii ni aibu kwa kweli, lakini ndiyo
hali halisi ilivyokuwa katika uwanja wa Taifa ambapo hatimaye Simba
iliibuka kidedea kwa kuwafunga waarabu wa ES Setif goli 2-0 na mashabiki
wa Yanga wakaondoka uwanjani kabla ya mpira kuisha, Muhimu ni kwamba
kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe kana dhambi haya, kama ujinga haya,
kama uendawazimu haya ilimradi siku imeenda.(PICHA KWA HISNI YA http://mrokim.blogspot.com)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)