Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Awaapisha Katibu Mpya wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Awaapisha Katibu Mpya wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Luteni Kanali Mohamed Mwinjuma Kombo,kuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar,leo baada ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Yahya Khamis Hamad,kuwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar,leo baada ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages