Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed
Shein, akijumuika na Wananchi na Waumini wa dini ya Kiislam katika
mazishi ya aliyekuwa Mlukulu Shaban Ahmada Hiliki, Kijijini kwao
Mfenesini Vuga Mkadani Wilaya ya Magharibui Unguja.
Shekh.Talib Suleiman, akisoma dua baada ya kumaliza kuzika katika makaburi ya Vuga Mkadini Unguja
Mkurugenzi
wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib, akisoma risala ya Marehemu Shaban
Ahmada Hilika wasifu wake wa kazi wakati wa uhai wake alivyokuwa
akishirikiana na Wafanyakazi wa ngazi zote na kutowa msaada pale
kunapokuwa na matatizo kwa wafanyakazi wake.
Wananchi
wakishirika katika mazishi ya Mlukulu wa Ikulu ya Zanzibar Shaban
Ahmada Hilika, katika kijiji cha Vuga Mkadinim Unguja.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)