Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akibadilishana mawazo na Mwakilishi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa
la Chakula na Kilimo Bibi Diana Ellen Tempelman, aliyefika Ikulu
kujitambulisha kwa Rais jana,baada ya mazungumzo .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisisitiza jambo wakati akibadilishana mawazo na Mwakilishi mpya wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Bibi Diana Ellen
Tempelman,aliyefika Ikulu kujitambulisha kwa Rais jana,baada ya
mazungumzo,(katikati) ni Kaimu Waziri wa Kilimo na Mifugo,Haroun Ali
Suleiman,ambae ni Waziri wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Ujumbe wa Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa
hapa Tanzania, Ukiongozwa na Mwakilishi wa Shilka la kazi Duniani
ILO,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuzungumza na Rais,jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Mwakilishi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
Chakula na Kilimo Bibi Diana Ellen Tempelman,aliyefika Ikulu kujitambulisha kwa Rais jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mwakilishi wa Shilka la Kazi Duniani ILO,akiongoza
ujumbe wa Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa waliopo hapa
Tanzania,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)