Mtanzania Dr Jackson Lauwo katikakati akibadilishana mawazo na Rais wa kisiwa cha Bougainville Mr John Momis wa kwanza kulia na Mrs Zerah Lauwo alyesima kushoto wakati walipokutana kwa Ndugu Ruger Kahwa kwa hafla ya chakula cha jioni.
Mke wa rais wa kisiwa cha Bougainvile Mrs Momis akikumbatiana na Mrs Doreen Kahwa mara baada ya kupokea zawadi ya kitenge kutoka Tanzania. Aliyesimama kushoto ni Mrs Zerah Lauwo ambaye ni mtanzania anayeishi nchini Papua New Guinea na aliyesimama kulia ni Rais John Momis.
Mrs Doreen Kahwa (mwenye brouse ya njano) akibadilishana mawazo na mke wa rais wa
kisiwa cha Bougainville, Mrs Momis(alishika kitenge) mara baada ya
kumpa zawadi ya kitenge kutoka Tanzania. Aliyesimama katikati ni Dr
Lauwo mtanzania ambaye ni mhadhiri mwandamizi katika chuo kikuu cha
Papua New Guinea na Rais Momis aliyevaa shati jeupe.
Mdau Ruger Kahwa ambaye ni mkuu wa office ya United Nations Office for Coordination of Humanitarian Affairs nchini Papua New Guinea( wa pili kutoka kulia) yeye na familia pamoja na marafiki wakiwa na Rais ya Kisiwa cha Boungainville Mheshimiwa John Momis mwenye miwani wanne kutoka kulia na mkewe wa tano kutoka kulia. Wakati Rais huyo alipomtembelea Mr Kahwa nyumbani kwake Port Moresby Papua New Guinea.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)