Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh
Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiwa mazikoni
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa
aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile
wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012.Picha Na Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)